Waislamu Afrika Kusini
IQNA - Msikiti wa Barabara Kuu ya Claremont (CMRM) nchini Afrika Kusini umeadhimisha mwaka wa 170 tokea ujengwe. Maadhimisho hayo yamejumuisha kwa mkusanyiko wa Khatm al-Quran (kusoma Qur'ani Tukufu tokea mwanzo hadi mwisho) na kuenziwa wale wote ambao wamechangia katika historia ya msikiti huo.
Habari ID: 3479671 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30
Waislamu Afrika Kusini
IQNA - Kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika Kusini, ndoa za Kiislamu zimetambuliwa rasmi, baada ya Idara ya Mambo ya Ndani kutoa vyeti 33 vya ndoa vinavyoidhinisha ndoa za Kiislamu.
Habari ID: 3479650 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kituo cha Hikmat (hekima) cha Dar-ul-Quran kilizinduliwa huko Pretoria, mji mkuu wa kiserikali nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3479406 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09
Msikiti mmoja huko Durban Kaskazini, Afrika Kusini, umeimarisha hatua za usalama baada ya vilipuzi viwili vya kutengenezea kienyeji kupatikana kwenye majengo hayo.
Habari ID: 3479100 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/10
Jinai za Israel
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeutaka Utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe mashambulizi yake katika mji wa kusini wa Gaza wa Rafah na kujiondoa katika eneo hilo, katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari, na kuielezea hali hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa wakazi wa Palestina.
Habari ID: 3478881 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/25
Jinai za Israel
IQNA-Afrika Kusini imeitaka Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa iamuru kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Rafah kama sehemu ya kesi yake iliyofungua mjini The Hague inayoushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mauaji ya kimbari, ikisema utawala huo "lazima uzuiwe" ili kunusuru maisha ya Wapalestina.
Habari ID: 3478840 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17
Watetezi wa Palestina
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimekaribisha uungwaji mkono wa nchi hiyo kwa hatua za kisheria zilizochukuliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala haramu Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
Habari ID: 3478819 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14
Mashidano ya Qur'ani
IQNA – Cape Town nchini Afrika Kusini inaandaa mashindano ya tano ya Qur’ani kwa vijana.
Habari ID: 3478814 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13
Jinai za Israel
IQNA - Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema zile siku za utawala wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina bila kuadhibiwa zimefika ukingoni.
Habari ID: 3478802 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10
Kadhia ya Palestina
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini amesema kuwa, raia yeyote wa nchi hiyo atakayeusaidia utawala wa Kizayuni katika vita vya Ukanda wa Gaza atatiwa mbaroni punde tu atakaporejea Afrika Kusini.
Habari ID: 3478520 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16
Watetezi wa Palestina
IQNA - Hatua za kivita za utawala wa Israel huko Rafah "zinathibitisha" usahihi wa kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema.
Habari ID: 3478356 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15
Watetezi wa Palestina
IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza yanapongezwa na kusifiwa na watu wote wanaopigania uhuru na ukombozi.
Habari ID: 3478260 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/27
Jinai za Israel
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ hii leo imeamua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel lazima uchukue hatua zote za kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari katika mashambulizi yake dhidi ya Wapalestina huko, Gaza.
Habari ID: 3478258 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26
Kadhia ya Palestina
IQNA-Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya awali ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa.
Habari ID: 3478251 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25
Watetezi wa Palestina
IQNA-Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeanza kusikiliza shauri la kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, ambayo inaishutumu kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
Habari ID: 3478184 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/11
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashirika kadhaa ya Kiislamu nchini Kanada (Canada) yamemuomba Waziri Mkuu Justin Trudeau kuunga mkono uchunguzi wa kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita wa utawala wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3478177 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10
Jinai za Israel
IQNA-Mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu tuhuma za mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza kuanza kusikilizwa wiki ijayo.
Habari ID: 3478147 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/04
Watetezi wa Palestina
IQNA-Afrika Kusini imefungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu mashambulizi ya "mauaji ya kimbari" ya utawala huo dhidi ya Gaza, ambayo hadi sasa yameua zaidi ya Wapalestina zaidi ya 21,500.
Habari ID: 3478112 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/30
Waungaji mkono Palestina
TEHRAN (IQNA)- Wabunge wa Afrika Kusini wamepiga kura ya kufunga ubalozi wa utawala wa kibaguzi wa Israel katika nchi hiyo.
Habari ID: 3477930 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/22
Waungaji mkono Palestina
CAPE TOWN (IQNA) – Mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini ulishuhudia maandamano makubwa zaidi katika jiji hilo katika miaka kadhaa wakati makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kutangaza mshikamano na Palestina, wakitaka kukomeshwa kwa ukatili wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3477879 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/12